HABARI

CUF yaitaka Mahakama Kuu kuwarejesha wabunge 8 bungeni

Chama cha Wananchi (CUF) kinaendelea kushuhudia kesi zake zilizo mahakamani zikisogezwa mbele kwa sababu moja ama nyengine, ambapo hivi leo wamepangiwa tarehe nyengine za mbele kusikilizwa madai yao. Kujuwa kilichojiri huko, angalia vidio hii.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.