HABARI

Lipumba ni nuhusi kwa CUF – Maalim Seif

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba, hana hadhi ya kujiita mpinzani wa kweli dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), bali ni msaliti anayeitumikia CCM kuichafua CUF kwa sababu ya kutimiza maslahi ya wanaomtuma. Hayo ameyasema kwenye kongamano la CUF lililofanyika Tandale, jijini Dar es Salaam hivi leo. Zaidi msikilize kwenye vidio hii hapa chini.

 

ANGALIA VIDIO: Gundu la Lipumba kwenye CUF

ANGALIA VIDIO: Lipumba hatafanikiwa kuiuwa CUF – Maalim Seif

 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.