Kutana na Masoud ‘Tongenyama’, mpishi mashuhuri wa karamu

Masoud Juma Masoud, maarufu kama Mssoud Tongenyama, ni kijana wa Kizanzibari anayejishughulisha na kazi ya upishi wa karamu mwenye umaarufu mkubwa kwenye mikoa ya Pwani na jijini Dar es Salaam, ambako ustadi wake wa kazi umemjengea jina na hadhi kubwa miongoni mwa wanajamii.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.