Zanzibar yampoteza mtangazaji bingwa wa burudani

Zanzibar leo imemzika mmoja wa watangazaji wake bingwa wa redio katika upande wa burudani na sanaa, Hassan Jureij Hassan (Hass J), ambaye hadi mauti yanamfika alikuwa akifanyia kazi kituo cha redio cha Swahiba FM.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.