
SMZ inawabagua CUF, Wapemba – Maalim Seif
Akiorodhesha mifano kadhaa iliyotokea tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu uliopita, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ameituhumu Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) chini ya uongozi wa Dk. Ali Mohammed Endelea