Zaima Media Network

Zaima Media Network

We Reach You. TUNAKUFIKIA

  • ZAIMA SHERIA
  • TIBA
  • BUR’DAAN
  • HABARI
  • KOLAMU
  • ZAIMA KAULI
  • ZAIMA SHERIA
  • ZAIMA SPECIALS
  • AJENDA YA ZANZIBAR
News Ticker
  • [ February 20, 2019 ] Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano UCHAMBUZI
  • [ February 18, 2019 ] Wazanzibari wapaswa kuyaelewa maradhi ya moyo UCHAMBUZI
  • [ February 5, 2019 ] Happy Birthday CCM! UCHAMBUZI
  • [ January 31, 2019 ] Vyombo vya Usalama vyalaumiwa uvunjaji haki za binaadamu HABARI
  • [ January 25, 2019 ] Sheikh Karume angeshauvunja Muungano AJENDA YA ZANZIBAR
Home2018April

Month: April 2018

AJENDA YA ZANZIBAR

SMT haiwezi kukubali Akaunti ya Fedha ya Muungano hata siku moja – Juma Duni

April 25, 2018 Zanzibar Daima 0

Wakati wabunge wa upinzani kutoka Zanzibar wakiendelea kushikilia ulazima wa kuheshimiwa kwa matakwa ya kikatiba ya kuundwa haraka kwa Akaunti ya Pamoja ya Fedha baina ya Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar, mtaalamu wa uchumi na Endelea

ZAIMA KAULI

Serikali yasema hakuna trilioni 1.5 iliyoibiwa wala kupotea

April 20, 2018 Zanzibar Daima 0

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Naibu Waziri wa Fedha, Dk. Aishatu Kijaji, imetoa ufafanuzi wa sakata la shilingi trilioni 1.5 ikisema hakuna fedha kama hiyo iliyopotea wala kuibiwa.

HABARI

CUF yauponda utetezi wa serikali kwenye sakata la trilioni 1.5

April 20, 2018 Zanzibar Daima 0

Muda mchache baada ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Naibu Waziri wa Fedha, Aishatu Kijaji, kutoa ufafanuzi wa shilingi trilioni 1.5 ambazo Mkaguzi Mkuu, CAG Juma Assad, alisema hazionekani kwenye mahisabu Endelea

AJENDA YA ZANZIBAR

Zanzibar inaumia kwenye Muungano kama taifa la visiwa

April 18, 2018 Zanzibar Daima 0

Kwenye kipindi cha leo cha Ajenda ya Zanzibar, mwanahistoria bingwa, Profesa Abdul Sheriff, anazungumzia namna ambavyo kwa kuwa kwake kwenye aina hii ya Muungano, Zanzibar inapoteza fursa ya kutumia nafasi yake ya kuwa taifa la Endelea

HABARI

Mafuriko yauwa watu saba Dar

April 16, 2018 Zanzibar Daima 0

Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali watu saba wamethibitika kufa kutokana na mafuriko katika wilaya tatu za jiji la Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha Endelea

HABARI

Trilioni 1.5 zapotea, TRA yadanganya makusanyo ya trilioni 2.2 – Zitto Kabwe

April 15, 2018 Zanzibar Daima 0

Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kwa mujibu wa ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali, CAG Mussa Assad, serikali kuu imepata hati chafu ikiwa imetumia mabilioni ya fedha kinyume na Endelea

KOLAMU

Kwaheri Maalim Suleiman Shkeli wa Pandani

April 12, 2018 Zanzibar Daima 0

Mauti ewe mauti, ukija kama hujaja Huwa waja katikati, ya maisha yetu waja Katikati ya wakati, na kati ya zetu haja Na hata tukikutaja, wewe khabari hupati Nimepokea habari ya Kaka yangu, Mzee wangu, Muhisani Endelea

No Picture
HABARI

CUF yawaunga mkono wabunge kutoka Bungeni

April 12, 2018 Zanzibar Daima 0

Chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar, CUF, kimeungana na wabunge wanaoiwakilisha Zanzibar kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kambi ya upinzani, ambao juzi walitoka nje ya ukumbi wa Bunge hilo mjini Dodoma Endelea

Posts navigation

1 2 »
  • UCHAMBUZI

    Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano

    February 20, 2019 0
    MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo Hyde Park Hotel.  Hoteli hiyo iko mkabala wa uwanja wa Hyde Park na Endelea
  • UCHAMBUZI

    Wazanzibari wapaswa kuyaelewa maradhi ya moyo

    February 18, 2019 0
    Upo msemo wa Kiswahili usemao “Ukitaka kumuua paka anza kwa kumpa jina baya”, ambao huelezea namna watu wanavyoharamisha au kuhalalisha jambo kwa kuanza na kukivunjia hadhi yake. Wagonjwa wa maradhi ya moyo hasa watoto hapa Endelea
  • UCHAMBUZI

    Happy Birthday CCM!

    February 5, 2019 0
    Imenichukuwa dakika tano tu hivi hadi kuwaza niandike nini kama sehemu ya zawadi kwa chama changu na marafiki zangu wa chama cha Mapinduzi CCM! Nimeona ni kheri kuandika kwa sababu si wote wenye uwezo wa Endelea
  • HABARI

    Vyombo vya Usalama vyalaumiwa uvunjaji haki za binaadamu

    January 31, 2019 0

    Mkoa wa Dar es Salaam ndio unaoongoza kwa uvunjifu wa haki za waandishi. Mikoa mingine inayoonekana kinara wa ukiukwaji huo ni Kigoma, Mtwara, Tanga, Singida, Shinyanga na Njombe. Endelea

My Tweets
  • Congo yathibitisha mripuko mpya wa Ebola

    May 9, 2018 0
    Serekali ya Congo imetangaza mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola baada ya kuthibitishwa watu wawili kukutwa na virusi ya ugonjwa huo na takribani 17 kufariki Kaskazini-Magharibi mwa taifa hilo. “Nchi yetu imekumbwa na mripuko wa Endelea
  • Mbowe na wenzake wafutiwa dhamana, wasubiri kupandishwa kizimbani

    March 27, 2018 0
    Viongozi sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe wamefutiwa dhamana na kuwekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Pamoja na Mbowe, viongozi Endelea
Tufuate kwa barua pepe

Weka anwani yako ya barua-pepe.

Join 11,204 other subscribers

Tuwasiliane
Khelef Nassor Rashid
P.O.BOX 4194
Zanzibar
+255772274011/+255718920331
office@zanzibardaima.net
Jumatatu - Ijumaa
10:00 Hrs - 17:00 Hrs

Zaima Media Network