Vijana watatu kati ya sita waliotekwa kutoka majumbani mwao huko Mtambwe kaskazini mwa kisiwa cha Pemba, wamesimulia mkasa mzima ulivyowatokea tangu walipovamiwa majumbani mwao usiku wa kuamkia Ijumaa (Aprili 6) hadi walipotupwa jana kwenye maeneo ya Ngwachani, kusini mwa kisiwa hicho.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.