MCHAMBUZI MAALUM, SIASA

Zanzibar inaumia kwenye Muungano kama taifa la visiwa

Kwenye kipindi cha leo cha Ajenda ya Zanzibar, mwanahistoria bingwa, Profesa Abdul Sheriff, anazungumzia namna ambavyo kwa kuwa kwake kwenye aina hii ya Muungano, Zanzibar inapoteza fursa ya kutumia nafasi yake ya kuwa taifa la visiwa kujiendeleza kama yafanyavyo mataifa mengine ya visiwa kwenye Bahari ya Hindi.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.