Serikali yasema hakuna trilioni 1.5 iliyoibiwa wala kupotea

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Naibu Waziri wa Fedha, Dk. Aishatu Kijaji, imetoa ufafanuzi wa sakata la shilingi trilioni 1.5 ikisema hakuna fedha kama hiyo iliyopotea wala kuibiwa.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.