Wakati wabunge wa upinzani kutoka Zanzibar wakiendelea kushikilia ulazima wa kuheshimiwa kwa matakwa ya kikatiba ya kuundwa haraka kwa Akaunti ya Pamoja ya Fedha baina ya Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar, mtaalamu wa uchumi na fedha na waziri wa zamani kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar, Juma Duni Haji, amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano haiwezi kukubaliana na uundwaji wa akaunti hiyo kwa kuwa huko kutakwenda kinyume na kile anachokiita “nia ya kuimaliza kabisa Zanzibar.”

Hayo yamo kwenye mazungumzo yake na Zaima TV kupitia kipindi cha Ajenda ya Zanzibar. Msikilize hapa.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.