Congo yathibitisha mripuko mpya wa Ebola

Published on :

Serekali ya Congo imetangaza mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola baada ya kuthibitishwa watu wawili kukutwa na virusi ya ugonjwa huo na takribani 17 kufariki Kaskazini-Magharibi mwa taifa hilo. “Nchi yetu imekumbwa na mripuko wa virusi vya Ebola ambapo vinatishia usalama wa afya za watu wetu”, amesema . Waziri wamesema […]

Bendera ya Marekani yachomwa Bungeni

Published on :

Hasira zinaendelea kushamiri baada ya uwamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia yaliyowafikiwa kati ya Iran na mataifa sita yenye nguvu duniani. Asubuhi ya leo wabunge katika bunge la Iran wameichoma moto bendera ya Marekani wakiwa mubashara katika runinga wakati bunge la nchi hiyo likiendelea […]

Zaidi ya Watanzania 380 watajwa ‘kupotezwa’ kusini

Published on :

Juni 12, 2017 mchana, Bi Ziada Salum wa Kitongoji cha Maparoni wilayani Kibiti alikuwa nyumbani kwake akipika chakula cha familia yake, wakati ambao Jeshi la Polisi lilifika na kumchukua kwaajili ya kwenda kumhoji. Ni miezi 11 leo tangu bi Ziada Salum achukuliwe, hajarudishwa mpaka leo, familia yake haijaarifiwa chochote, bado […]