Hivi ndivyo hila dhidi ya Z’bar zilivyoanza – Ibrahim Hussein

Ibrahim Hussein, mwandishi na mwanaharakati wa Zanzibar.

Mwandishi na mchambuzi maarufu wa Zanzibar, Ibrahim Hussein, anasema kuwa hila dhidi ya Zanzibar zilianza tangu wakati wa kuja kwa mkoloni wa Kiingereza kwenye eneo la pwani ya Afrika Mashariki na zikaanza kudhihirika wakati wa harakati za kudai uhuru na zimeendelea hadi leo, zaidi ya nusu karne tangu Uhuru, Mapinduzi na Muungano. Msikilize hapa kwenye Ajenda ya Zanzibar.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.