Kwetu Nilikulia na kulelewa kwenye nyumba hii na mara ya mwanzo kuihama kwenda kuishi kando nayo ni pale nilipotimia miaka 18, kwa ajili ya masomo na kusaka maisha. Pandani, Mchangani, Pemba.
Be the first to comment