Hakuna Ugozi wala Uhizbu, bali Uzanzibari

Published on :

Kuna vijana wengi tu ambao ni marafiki wakubwa hivi sasa wa kufa na kuzikana, lakini ukifuatilia historia za wazee wao, utakuta kuwa wazee hao walikuwa mahasimu wa kutukanana matusi ya nguoni. Bali kuna hata wale ambao mzee wa rafiki mmoja ndiye aliyemuua mzee wa rafiki mwengine, lakini leo hii watoto […]

Mkapa, huu ndio uhalali wa Wazanzibari kutumia nguvu ya umma

Published on :

HAPA pana upotoshaji na hila zinafanyika. Wiki iliyopita amenukuliwa Rais Benjamin Mkapa akisema kwamba hatawavumilia wanaotaka kujitangazia matokeo ya kura kabla ya kutangazwa na tume ya uchaguzi. Kwamba huo ni uvunjifu wa amani na yeye akiwa kama raisi wa nchi hataliwacha hilo litokezee mbele ya macho yake. Kijuujuu inafahamika, lakini […]

Serikali, dini na maslahi ya kisiasa

Published on :

NAMNA akili zetu zilivyolemazwa kwa siku nyingi, tumefikishwa pahala ambapo tunaogopa hata kuizungumzia nafasi ya dini katika maisha yetu wenyewe. Wenye khatamu za ulimwengu na za nchi wametufanya tuone, na tuamini, kuwa kuihusisha dini na maisha ya kila siku ni ugaidi, au kasoro yake huita siasa kali.

Zanzibar ina wenyewe

Published on :

TAARIFA iliyotolewa hivi karibuni na Tume ya Uchunguzi ya Kituo cha Katiba cha Afrika ya Mashariki inasema kuwa “Wazanzibari wana uzalendo wa hali ya juu na wanajivunia sana Uzanzibari wao… mila na utamaduni wao, bila ya kujali tafauti zao za kisiasa…. wanaamini kwamba Zanzibar ni dola na Muungano ni makubaliano […]

Zanzibar: Not yet Uhuru?

Published on :

TUNAKARIBIA kuadhimisha miaka 40 ya Mapinduzi ya Januari 1964 ya Zanzibar yaliyotanguliwa na uhuru wa Disemba 1963 uliodumu kwa mwezi mmoja. Kichwani mwangu nalikumbuka shairi The Beautiful Cesspool, ambalo, kama sikosei, liliandikwa na Dennis Brutus. Ninalikumbuka kwa kuwa linaelezea mkanganyiko uliopo baina ya uhuru wa dhati na uhuru wa jina. […]