HABARI

Kwaheri Bachu

Leo siku imefika, ya huzuni kutungia Chozi halitakauka, Nyoyo zimejinamia Bachu ameshatutoka, enda huko kwa jalia Leo yametimilia, ya dhaaikatul mauti Nasi tuliobakia, twausubiri wakati Wetu hatujaujua, mchana ni lailati? Umepigana hakika, Bachu, dini kuwa juu Yakakukuta mashaka, na jeuri za wakuu Hwekubali tetereka, Bachu, ni kidume mji huu Yote ulotufundisha, twayatia matendoni Kusudi kukamilisha,… Continue reading Kwaheri Bachu

HABARI

Siamini Niotayo

Zenji yetu yatoweka, yatoweka naiona Ndio ndoto nnoota, usiku hata mchana Ndoto hii yanifata, nendako yaniandama Siamini nnoota, sitamani kuyaona Naota kila kukicha, habari huwa nasoma Mitandaoni napita, yalojiri kuyaona Zenji nyumbani kwapwita, shuari haiko tena Kuchafu kumechafuka, si shuari si salama Bahari inachafuka, naota meli zazama Roho zinapukutika, mikondoni zinkwama Walio juu wacheka, hiyo… Continue reading Siamini Niotayo

HABARI

MAHAKAMA YA WATOTO YAZINDULIWA RASMI ZANZIBAR

Imewekwa na Mhammed Khamis   JAJI MKUU WA ZANZIBAR MH OMAR OTHMAN MAKUNGU AMESEMA KUANZISHWA KWA MAHAKAMA YA WATOTO NCHINI KUTASAIDIA KUPUNGUZA MRUNDIKANO WA KESI KATIKA MAHAKAMA YA MKOA. AMESEMA MAHAKAMA HIYO ITAKUWA NA JUKUMU LA KUSHUGHULIKIA KESI ZA JINAI ZINAZO HUSU WATOTO WALIOCHINI YA UMRI WA MIAKA 18 IKIWA NI UTEKELEZAJI WA SHERIA NAMBA… Continue reading MAHAKAMA YA WATOTO YAZINDULIWA RASMI ZANZIBAR

HABARI

UNESCO YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA Z,BAR KUIMARISHA USTAWI WA WAWANANCHI

Imeweka na Mhammed khamis Shirika la Umoja wa Matifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika juhudi zake za kuimarisha ustawi wa wananchi kupitia sekta mbali mbali za maendeleo ikiwemo sekta ya Elimu.   Akizungumza na baadhi ya Mawaziri wa Serikali ambao Wizara zao zinapata misaada… Continue reading UNESCO YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA Z,BAR KUIMARISHA USTAWI WA WAWANANCHI