• HABARI
  • ZAIMA TV
Zanzibar Daima
News Ticker
  • [ May 2, 2019 ] Muungano unalindwa kwa nguvu MCHAMBUZI MAALUM
  • [ May 2, 2019 ] Masauni amelewa pombe gani? MCHAMBUZI MAALUM
  • [ April 29, 2019 ] Khalifa Hatfar: Kibaraka wa Marekani au mwokozi wa Libya? MCHAMBUZI MAALUM
  • [ April 21, 2019 ] Sudan: Mapinduzi bado kukamilika AFRIKA
  • [ April 12, 2019 ] Algeria: Darasa za bure barabarani MCHAMBUZI MAALUM
HomeULIMWENGUNI

ULIMWENGUNI

Habari, uchambuzi, makala kuhusu yanayoendelea ulimwenguni.

HABARI

Bendera ya Marekani yachomwa Bungeni

May 9, 2018 Zanzibar Daima 0

Hasira zinaendelea kushamiri baada ya uwamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia yaliyowafikiwa kati ya Iran na mataifa sita yenye nguvu duniani. Asubuhi ya leo wabunge katika bunge la Iran Endelea

AFRIKA

​Huu si wakati wa Afrika kuidekeza Israel

June 30, 2017 Zanzibar Daima 0

“UMEKUJA kufanya nini huku?” aliniuliza kwa hasira Mpalestina wa makamo aliyekuwa dereva wa shirika moja la Umoja wa Mataifa mjini Jerusalem ya Mashariki. “Watu kama nyiye mkija huku ni tatizo,” aliongeza. Sikuwa na hila.  Azma Endelea

HABARI

China kuwapima DNA raia Waislamu

May 18, 2017 Zanzibar Daima 0

China imo kwenye matayarisho ya kuchukuwa vipimo vya vinasaba (DNA) kutoka kwa raia wake waishio katika mkoa wenye Waislamu wengi na ambao umekuwa chini ya msako mkali wa vyombo vya dola, wanasema watetezi wa haki Endelea

MCHAMBUZI MAALUM

Baina ya Zanzibar na Ireland Kaskazini

April 29, 2015 Zanzibar Daima 0

Wakati uchaguzi mkuu visiwani Zanzibar ukikaribia, nimeonelea nizitazame kampeni zilizipo Ireland ya Kaskazini na namna ya siasa zao zinazofanana na za hapa petu.

Tafuta

Maktaba

Utawala
  • Log in
  • Entries feed
  • Comments feed
  • Powered by WordPress.com.
Tuwasiliane
office@zanzibardaima.net
Jumatatu - Ijumaa
10:00 Hrs - 17:00 Hrs
Subscribe to Blog via Email

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 11,558 other subscribers

Zaima Media Network