Matokeo ya Kidato cha Nne hadharani

January 30, 2018 0

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya Kidato Nne ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia saba. Shule  iliyoshika namba moja inatoka Mbeya.

1 2 3 101