No Picture
HABARI

Habibi Zenj!

Ungalinipa dhahabu, almasi na yakuti Na makasiki ya fedha, na mabakuli ya wati Kwa kutaka niiwache, Zenji yangu siiwachi Ni radhi utwae yote, lakini si kitu hichi Kwamba ndiyo roho yangu!