HABARI

CUF yauponda utetezi wa serikali kwenye sakata la trilioni 1.5

Muda mchache baada ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Naibu Waziri wa Fedha, Aishatu Kijaji, kutoa ufafanuzi wa shilingi trilioni 1.5 ambazo Mkaguzi Mkuu, CAG Juma Assad, alisema hazionekani kwenye mahisabu ya serikali, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, ameuokosoa utetezi huo akisema hauna tafauti… Continue reading CUF yauponda utetezi wa serikali kwenye sakata la trilioni 1.5

HABARI

Mafuriko yauwa watu saba Dar

Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali watu saba wamethibitika kufa kutokana na mafuriko katika wilaya tatu za jiji la Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha taarifa hizo ambapo amesema kuwa watu sita wameripotiwa kufariki katika wilaya za Kinondoni na Ilala huku mmoja akiripotiwa kufariki katika… Continue reading Mafuriko yauwa watu saba Dar

HABARI

Trilioni 1.5 zapotea, TRA yadanganya makusanyo ya trilioni 2.2 – Zitto Kabwe

Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kwa mujibu wa ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali, CAG Mussa Assad, serikali kuu imepata hati chafu ikiwa imetumia mabilioni ya fedha kinyume na utaratibu, huku taifa likipoteza shilingi trilioni 1.5 na Mamlaka ya Mapato (TRA) ikiwa imepindisha ukweli kuhusu makusanyo ya shilingi trilioni… Continue reading Trilioni 1.5 zapotea, TRA yadanganya makusanyo ya trilioni 2.2 – Zitto Kabwe

HABARI

CUF yawaunga mkono wabunge kutoka Bungeni

Chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar, CUF, kimeungana na wabunge wanaoiwakilisha Zanzibar kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kambi ya upinzani, ambao juzi walitoka nje ya ukumbi wa Bunge hilo mjini Dodoma kupinga hatua ya Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu, kuzuia kuzungumzwa masuala ya Muungano. Mnadhimu wa Kambi ya CUF Bungeni na… Continue reading CUF yawaunga mkono wabunge kutoka Bungeni

HABARI

Wazee Pemba watowa muda hadi kesho watoto wao 3 wawe wamesharejeshwa

Katika hali isiyokuwa ya kawaida na inayoashiria kiwango kikubwa cha kuchoshwa na mateso dhidi yao, wazee kisiwani Pemba wamelipa Jeshi la Polisi masaa 24 kutoka sasa kuhakikisha vijana watatu waliokatwa majumbani mwao huko Mtambwe, kaskazini mwa kisiwa cha Pemba, wawe wameshapatikana wakiwa salama. Wakizungumza baada ya kutoka makao makuu ya polisi ya mikoa yote miwili… Continue reading Wazee Pemba watowa muda hadi kesho watoto wao 3 wawe wamesharejeshwa