JAMII

Ningekuwa kada… 

June 6, 2017 // 0 Comments

Kwanza ningetetea yote yatendwayo na utawala wa nchi yangu, tena kwa mitusi yote, vitisho na kejeli, kwa kujikweza wakati tumboni hamuna hali. Ningegombana na kuhasimiana na [...]