KOLAMU

Zanzibar: Not yet Uhuru?

TUNAKARIBIA kuadhimisha miaka 40 ya Mapinduzi ya Januari 1964 ya Zanzibar yaliyotanguliwa na uhuru wa Disemba 1963 uliodumu kwa mwezi mmoja. Kichwani mwangu nalikumbuka shairi The Beautiful Cesspool, ambalo, kama sikosei, liliandikwa na Dennis Brutus. Endelea