SIASA

Chini ya muundo huu wa Muungano, michezo ya Z’bar haisongi mbele – Ally Saleh

Mwanamichezo wa siku nyingi ambaye ni mwanasiasa, mshairi na mwandishi wa habari, Ally Saleh, anasema kuwa muundo wa Muungano uliopo unairejesha nyuma Zanzibar kwenye eneo la michezo, ambalo japokuwa si miongoni mwa mambo ya Muungano, linaikosesha kufaidika na vipaji vyake kimataifa. https://www.youtube.com/watch?v=FiYxSjH2LO8

SIASA

Hivi ndivyo hila dhidi ya Z’bar zilivyoanza – Ibrahim Hussein

Mwandishi na mchambuzi maarufu wa Zanzibar, Ibrahim Hussein, anasema kuwa hila dhidi ya Zanzibar zilianza tangu wakati wa kuja kwa mkoloni wa Kiingereza kwenye eneo la pwani ya Afrika Mashariki na zikaanza kudhihirika wakati wa harakati za kudai uhuru na zimeendelea hadi leo, zaidi ya nusu karne tangu Uhuru, Mapinduzi na Muungano. Msikilize hapa kwenye… Continue reading Hivi ndivyo hila dhidi ya Z’bar zilivyoanza – Ibrahim Hussein

SIASA

SMT haiwezi kukubali Akaunti ya Fedha ya Muungano hata siku moja – Juma Duni

Wakati wabunge wa upinzani kutoka Zanzibar wakiendelea kushikilia ulazima wa kuheshimiwa kwa matakwa ya kikatiba ya kuundwa haraka kwa Akaunti ya Pamoja ya Fedha baina ya Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar, mtaalamu wa uchumi na fedha na waziri wa zamani kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar, Juma Duni Haji, amesema Serikali ya Jamhuri… Continue reading SMT haiwezi kukubali Akaunti ya Fedha ya Muungano hata siku moja – Juma Duni

MCHAMBUZI MAALUM, SIASA

Zanzibar inaumia kwenye Muungano kama taifa la visiwa

Kwenye kipindi cha leo cha Ajenda ya Zanzibar, mwanahistoria bingwa, Profesa Abdul Sheriff, anazungumzia namna ambavyo kwa kuwa kwake kwenye aina hii ya Muungano, Zanzibar inapoteza fursa ya kutumia nafasi yake ya kuwa taifa la visiwa kujiendeleza kama yafanyavyo mataifa mengine ya visiwa kwenye Bahari ya Hindi. https://www.youtube.com/watch?v=U6ky6O9-9-4