Masuala yote yanayohusiana na michezo, burudani, sanaa, na fasihi.

Riwaya:Safari ya Kumuua Rais-7
Ilipoishia wiki iliyopita tuliona Abdull akimuaga Fartuun anaondoka na hatorudi tena Somalia, halikuwa jambo rahisi kwa Fartuun kukubali. Fartuun akamuomba Abdull wakutane kwa mara ya mwisho…Endelea… Ilipofika jioni Fartuun alijikongoja kuelekea alipoelezwa na Abdull kwamba Endelea