UTAMADUNI

Riwaya: Safari ya Kumuua Rais -5

Ilipoishia tuliona Abdull alivyoanza chuo na kukutana na marafiki wengi akiwemo Kassim, pia akakutana na Fartuun. Jioni moja wakati  wakitoka chuo waliamua kufuatana na story mbili tatu zikawa zinaendelea. Sasa endelea…. Waliamua kutembea kwa miguu, wakidai wanafanya mazoezi ya kupunguza mafuta mwili, hatimaye kila mmoja akamuacha mwenzake na kuelekea njia ya nyumbani kwao. Abdull hakuwa… Continue reading Riwaya: Safari ya Kumuua Rais -5

UTAMADUNI

‘Kilio cha Usumbufu’: Diwani mpya yaingia sokoni rasmi

Kampuni ya uchapishaji ya mtandaoni, Zanzibar Daima Publishing House, imechapisha diwani mpya ya ushairi wa Kiswahili iitwayo 'Kilio cha Usumbufu' iliyoandikwa na mtaalamu wa lugha na fasihi na mwalimu wa siku nyingi, Maalim Ali Abdulla Ali. Diwani hiyo, ambayo inaanza kuuzwa leo katika mtandao wa Amazon na washirika wake kote ulimwenguni, ina zaidi ya tungo… Continue reading ‘Kilio cha Usumbufu’: Diwani mpya yaingia sokoni rasmi

UTAMADUNI

Kutana na Ally Hilal 3 ndani ya 1

Ingawa kanuni ya maisha inatuelekeza kuwa kila mwanaadamu amezaliwa akiwa na kipaji cha aina fulani, lakini si kila mmoja anayekigunduwa na kukitumia kwa maslahi yake na wengine. Matokeo yake ni kwamba wengi wetu huzaliwa, kukuwa na kufa na vipaji vyetu tukaenda navyo kaburini, bila hata kufahamika kwamba tulikuwa navyo. Havikutufaa wenyewe wala wenzetu. Hivyo sivyo… Continue reading Kutana na Ally Hilal 3 ndani ya 1

UTAMADUNI

Riwaya: Safari ya Kumuua Rais – 4

Tuliona sehemu iliyoisha Baada ya ndugu wawili kutoka Daadab na kuingia Mohadishu wakiwa na Ismail, wakaanza maisha ya uvuvi hapo, lakini ghafla mwenyeji wao akawaaga na kuondoka bila kusema anaenda wapi, lkn wao waliendelea vyema na uvuvi ambao uliwaingizia kipato kizuri,hadi Abdull akaanza chuo. Endelea… Akiwa katika Chuo Kikuu cha Simad , Abudull alianza vyema… Continue reading Riwaya: Safari ya Kumuua Rais – 4

JAMII, UTAMADUNI

Kwa nini hupaswi kutumia ushirikina hata unapodhurika kwa ushirikina?

Katika sehemu hii ya mfululizo wa makala za tiba, leo Sheikh Sultan Al Mendhry anakuelezea sababu muhimu za kuepuka kutumia matibabu yanayomshirikisha Mwenyezi Mungu hata pale ambapo umegunduwa kwamba umesibika na matatizo ya kishirikina. Endelea kumfuatilia. https://www.youtube.com/watch?v=UQJUVBh-l-A&t=210s