UTAMADUNI

Riwaya: Safari ya Kumuua Rais – 3

Tuliona sehemu ya pili, Abdull na Talib walipokimbia Pemba wakaishi katika mji wa Nyali, Mombasa ya Kenya, baadaye maisha hayakuwa mazuri wakaelekea katika kambi ya wakimbizi ya Dadaab, huku wakapata rafiki wa Kisomali kwa jina la Ismail ambaye aliwashawishi waende Mogadishu kufanya Biashara. Waliwasili Mogadishu jioni pevu baada ya safari ya siku kadhaa. Endelea.. “Karibuni… Continue reading Riwaya: Safari ya Kumuua Rais – 3

UTAMADUNI

Riwaya: Safari ya Kumuua Rais – 2

Ilipoishia shemu ya kwanza! Tuliona jinsi Abdull na Talib ambao ni ndugu walivyotoka Dodoma na kufika Dar es Salaam, baada ya mapumziko ya siku chache wakaelekea Zanzibar katika kisiwa cha Unguja. Huko wakaanza maisha, Abdull akiishi km mgonjwa wa akili na Talib akiwa na mtangamano mzuri na jamii inayomzunguka. Yote haya wanayafanya wakiwa na sababu… Continue reading Riwaya: Safari ya Kumuua Rais – 2

UTAMADUNI

Wasanii wa Bongo walizwa na ‘mashujaa wa elimu’

Vifo vya watoto zaidi ya 30 vilivyotokea jana Karatu, kaskazini mwa Tanzania, hapana shaka vimelitikisa taifa hilo kubwa kabisa kieneo kwenye ukanda wa Afrika Mashariki. Watoto hao walipatwa na ajali wakati basi walilokuwa wakisafiria lilipopata ajali likiwa njiani kuelekea skuli ya Karatu walikokuwa wakafanye mtihani wa majaribio. Katika kuwalilia 'mashujaa' hao wachanga wa elimu, baadhi… Continue reading Wasanii wa Bongo walizwa na ‘mashujaa wa elimu’

UTAMADUNI

Machozi Yamenishiya: Diwani ya Mohammed Ghassani

MSHAIRI NA DIWANI YAKE Linapokuja suala la kutaja mafanikio ya mshairi fulani, inatubidi kwanza tulikabili suala gumu la ki-ontolojia: ‘shairi ni nini’? Kwa vile suala hili hukosa jibu mwafaka, mimi hulipa fasili rahisi tu – yaani shairi ni umbo la sanaa-lugha linalojitofautisha na maumbo mengine ya sanaa-lugha kwa jinsi linavyosikika likisomwa kimoyomoyo au kinywa kipana.… Continue reading Machozi Yamenishiya: Diwani ya Mohammed Ghassani

UTAMADUNI

Kurasa Mpya: Fungamano la Malenga

Ushairi unatambuliwa kuwa miongoni mwa sanaa kongwe kabisa kwa mwanaadamu. Jamii yoyote inayojitambuwa kwa ukale na ukongwe wake, basi utaikuta ndani yake ikiwa na sanaa ya ushairi kama moja ya dalili za uwepo wake wa zama na zama. Haitoshi hayo, ushairi pia unachukuliwa na wasomi wa taaluma za kibinaadamu, kuwa moja ya nguzo kuu za… Continue reading Kurasa Mpya: Fungamano la Malenga