jahazi-mbele-ya-house-of-wonders

jahazi-mbele-ya-house-of-wonders

Jahazi mbele ya Mji Mkongwe, Zanzibar. Jahazi si chombo cha usafiri tu kwa Zanzibar bali pia ni alama ya mahusiano na maingiliano ya tamaduni mbalimbali duniani ambazo watu wake walitumia jahazi kufika na kuweka makaazi yao hapa na kuifanya Zanzibar kuwa nyumbani pao na kituo cha utajiri wa utamaduni

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.