Kura ya Maoni Zanzibar

Kura ya Maoni Zanzibar

Picha hii iliyopigwa Julai 2010, ni mkusanyiko wa wazee kusini Pemba, kujadili muelekeo wa Kura ya Maoni ya Zanzibar ya Julai 31, 2010. Ona nuru ya matumaini kwenye uso wa mzee.

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.