SIASA

Hivi ndivyo hila dhidi ya Z’bar zilivyoanza – Ibrahim Hussein

Mwandishi na mchambuzi maarufu wa Zanzibar, Ibrahim Hussein, anasema kuwa hila dhidi ya Zanzibar zilianza tangu wakati wa kuja kwa mkoloni wa Kiingereza kwenye eneo la pwani ya Afrika Mashariki na zikaanza kudhihirika wakati wa harakati za kudai uhuru na zimeendelea hadi leo, zaidi ya nusu karne tangu Uhuru, Mapinduzi na Muungano. Msikilize hapa kwenye… Continue reading Hivi ndivyo hila dhidi ya Z’bar zilivyoanza – Ibrahim Hussein

MCHAMBUZI MAALUM

Ni kupi kuyalinda mapinduzi?

Ufuatao ni mjadala kati ya Wazanzibari watatu - Balozi Ali Karume, Bwana Salim Msom na Wakili Awadh Ali Said - juu ya mada tete ya kuyalinda mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, ambao ulianza kutokana na mchango wa Bwana Salim katika moja ya majukwaa ya mitandaoni yanayowakutanisha Wazanzibari. Usome kwa kina kisha nawe changia maoni… Continue reading Ni kupi kuyalinda mapinduzi?

AFRIKA, HABARI

Congo yathibitisha mripuko mpya wa Ebola

Serekali ya Congo imetangaza mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola baada ya kuthibitishwa watu wawili kukutwa na virusi ya ugonjwa huo na takribani 17 kufariki Kaskazini-Magharibi mwa taifa hilo. “Nchi yetu imekumbwa na mripuko wa virusi vya Ebola ambapo vinatishia usalama wa afya za watu wetu”, amesema . Waziri wamesema sample za watu watatu zilipelekwa… Continue reading Congo yathibitisha mripuko mpya wa Ebola

HABARI, ULIMWENGUNI

Bendera ya Marekani yachomwa Bungeni

Hasira zinaendelea kushamiri baada ya uwamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia yaliyowafikiwa kati ya Iran na mataifa sita yenye nguvu duniani. Asubuhi ya leo wabunge katika bunge la Iran wameichoma moto bendera ya Marekani wakiwa mubashara katika runinga wakati bunge la nchi hiyo likiendelea na vikao vyake. Katika video… Continue reading Bendera ya Marekani yachomwa Bungeni

HABARI

Zaidi ya Watanzania 380 watajwa ‘kupotezwa’ kusini

Juni 12, 2017 mchana, Bi Ziada Salum wa Kitongoji cha Maparoni wilayani Kibiti alikuwa nyumbani kwake akipika chakula cha familia yake, wakati ambao Jeshi la Polisi lilifika na kumchukua kwaajili ya kwenda kumhoji. Ni miezi 11 leo tangu bi Ziada Salum achukuliwe, hajarudishwa mpaka leo, familia yake haijaarifiwa chochote, bado imekaa na matarijio kuwa ipo… Continue reading Zaidi ya Watanzania 380 watajwa ‘kupotezwa’ kusini