HABARI

CUF yaishambulia SMZ kwa ubaguzi

Chama cha Wananchi (CUF), ambacho kinaamini kuwa kiliporwa ushindi wake kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015 visiwani Zanzibar, kimeilaani Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inayoongozwa na Dk. Ali Mohamed Shein, kwa kile kinachosema ni ubaguzi wenye misingi ya Uunguja na Upemba na kuwakomoa wale waliokikosesha ushindi Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi huo, ambao baadaye ulifutwa… Continue reading CUF yaishambulia SMZ kwa ubaguzi

HABARI

ADC watifuana uchaguzi Z’bar

MGOGORO wa kushiriki ama kutoshiriki uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar unatokota ndani ya Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), anaandika Happyness Lidwino. Taarifa zilizopatikana ndani ya chama hicho zinaeleza kwamba, kumeibuka makundi mawili makubwa ya viongozi. Kundi la kwanza linahoji sababu za kukubali kuingia kwenye marudio ya uchaguzi huo uliotangazwa na Mwenyekiti wa Tume… Continue reading ADC watifuana uchaguzi Z’bar