HABARI

Kilichokosekana kwenye bajeti ni usalama wa mkulima

Wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2015, niligombea ubunge katika Jimbo la Busokelo kupitia tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo. Endapo ningechaguliwa kwa kura nyingi na kuwa mbunge niliazimia kwa dhati kupeleka muswaada binafsi bungeni kwa ajili ya kuanzisha Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Kijamii kwa Wakulima (Farmers Social Security Fund - FSSF). Sikuupata ubunge baada… Continue reading Kilichokosekana kwenye bajeti ni usalama wa mkulima

HABARI

Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 8 Juni 2017 

Makisio kuhusu itakavyokuwa bajeti kuu ya Tanzania itakayosomwa leo na waziri wa fedha bungeni, kuondolewa kwa Anna Mghwira kwenye uwenyekiti wa ACT Wazalendo, kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama huko Kibiti ni miongoni mwa yaliyotawala safu za mbele za magazeti ya leo, huku kwenye kurasa za michezo, wengi wakizungumzia mechi ya leo kati ya Young… Continue reading Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 8 Juni 2017 

HABARI

Mgimwa, kwa nini hukuyasema hayo bungeni?

Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipanga ratiba ya kutolewa kwa elimu ya uraia kwa miezi 18 ndipo tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi. Hii nadhani ingesaidia kuondoa maafa na dosari nyingi zinazojitokeza katika nchi yetu, lakini inasemekana wakubwa wetu wakakataa bila kutoa sababu za msingi zinazoweza kuzipinga na zile alizozitoa Jaji Nyalali zikiwemo kuutambuwa vyema… Continue reading Mgimwa, kwa nini hukuyasema hayo bungeni?