Jinsi Museveni alivyoshinda uchaguzi

Published on :

Angalia hii vidio iliyowekwa mtandaoni hivi leo, mara tu baada ya Tume Huru ya Uchaguzi nchini Uganda kumtangaza Rais Yoweri Museveni mshindi wa mara nyengine wa uchaguzi mkuu katika taifa hilo la Afrika Mashariki. Hapana shaka, stihzai iliyomo humu inatosha kuelezea kwa upana na urefu jinsi watawala wanavyotumia chaguzi kama […]

I participated in the elections to highlight Museveni’s military regime – Besigye

Published on :

We have just witnessed what must be the most fraudulent electoral process in Uganda. We participated in this process to highlight and show the world quite how fraudulent this military regime is. The Electoral Commission is not independent and its technical incompetence and partisanship has been made clear for all […]

Ya Uganda kama ya Zanzibar – Dk. Mkumbo

Published on :

Yanayoendelea Uganda na sehemu zingine katika bara letu, ikiwemo Zanzibar, yatukumbushe tena kwamba Waafrika tuliupokea utamaduni wa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi kwa shinngo upande. Kuanzia tunavyoendesha mambo ndani ya vyama vyetu hadi katika ngazi ya taifa, ni utani unaogeuka kuwa mateso kwa wanachama na wananchi.