SIASA

La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba – III

Katika sehemu ya pili ya uchambuzi huu, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud, alianza kuvichambua vifungu vya Katiba Inayopendekezwa iliyopitishwa kwa shangwe na kutetewa na wana-CCM wa Zanzibar mjini Dodoma. Kwenye sehemu hii, anaendelea kuvichambua vifungu hivyo. - Mhariri.  Mfumo wa Serikali Mbili [Ibara ya 73] Ibara ya 73 ya Katiba Inayopendekezwa imeweka… Continue reading La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba – III

HABARI

Riziki Shahari: Mamlaka ya Bunge kikatiba siyaoni

UKIJUA historia ya ujanani kwake alivyokuwa akisoma hadi alipohitimu elimu ya kidato cha tano katika Shule ya Wasichana ya Korogwe mwaka 1980, ndio utaelewa ni kwa nini leo Riziki Shahari Mngwali ametokea kuwa mwanamke mkakamavu asiyeyumba kimsimamo. Nimebaini kuwa hivyo ndivyo alivyo Bi Riziki, mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) na mbunge wa Viti Maalum.… Continue reading Riziki Shahari: Mamlaka ya Bunge kikatiba siyaoni