HABARI

Ningekuwa kada… 

Kwanza ningetetea yote yatendwayo na utawala wa nchi yangu, tena kwa mitusi yote, vitisho na kejeli, kwa kujikweza wakati tumboni hamuna hali. Ningegombana na kuhasimiana na yeyote ili nionekane nami pengine wanifikirie pakuniwekani. Ningekuwa kada, Endelea