MCHAMBUZI MAALUM

Masauni amelewa pombe gani?

Kijijini kwetu alikuwepo mzee mmoja ambaye alikuwa maarufu sana.  Miongoni mwa mambo yaliyompa umaarufu ni jinsi alivyokuwa mweledi katika elimu ya dini ya Kiislamu kiasi cha kuwafundisha baadhi ya aalim wakubwa katika kijiji hicho.  Pamoja na taaluma aliyokuwa nayo, alikuwa mpenzi mkubwa wa pombe.  Kwa ufupi alikuwa mlevi, unaweza kusema wa kupindukia. Katika sikukuu moja… Continue reading Masauni amelewa pombe gani?

HABARI

Abu Dhabi yaahidi neema kwa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, mrithi wa mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi wa Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Katikamazungumzohayoviongozihaowalikubalianakwapamojakuendelezauhusiano na ushirikiano wa kidugu na kihistoriauliopokwamuda wa miaka… Continue reading Abu Dhabi yaahidi neema kwa Zanzibar

HABARI

Zanzibar Heroes iliufanya 2017 kuwa Mwaka wa Mashujaa

Ulikuwa usiku wa maajabu, usiku wa furaha, usiku wa historia na usiku wa aina yake. Usiku wa Mashujaa. Nalazimika kuuita majina tofauti usiku wa tarehe 23 Disemba 2017 kwa kile kilichotokea pale katika jengo maarufu la Baraza la Wawakilishi la zamani kwa kile alichokifanya Dk. Ali Mohammed Shein kwa vijana wa Zanzibar Heroes. Nauita hivi… Continue reading Zanzibar Heroes iliufanya 2017 kuwa Mwaka wa Mashujaa

Haji Omari Kheri
KALAMU YA GHASSANI

Ramadhani nyengine imepita, dhuluma dhidi ya Uamsho bado yaendelea

Kwa hakika sijui ni kitu gani kilichokuwa kimenifanya niamini kuwa Ramadhani ya mwaka huu isingelimalizika kabla ya viongozi na wafuasi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu ya Zanzibar (Uamsho) wanaoshikiliwa kwa zaidi miaka minne sasa katika magareza ya Tanzania Bara, hawajaachiliwa huru! Ni jambo la kushangaza kuwa bila ya hata kuwa na ushahidi… Continue reading Ramadhani nyengine imepita, dhuluma dhidi ya Uamsho bado yaendelea

HABARI

Jecha ameifisidi akili yake

NILIPATA kusema kuwa Jecha Salim Jecha amejidhalilisha, amejidharau na kujishusha hadhi. Haaminiki tena pamoja na kuwa ni mstaafu kiutumishi. Alistaafu utumishi serikalini kwa mujibu wa sheria, akiwa ametimiza umri wa miaka 60 miaka kadhaa iliyopita, lakini amejiingiza katika kusema asichokiamini. Haoni aibu wala tatizo kudanganya. Alizuga kwa staili ya kujitia hamnazo siku ile ya 28… Continue reading Jecha ameifisidi akili yake