HABARI

FIFA haina hoja kuinyima Zanzibar uanachama – Alberto

Imeelezwa kuwa hoja ya Shirikisho la Soka la Ulimwengu (FIFA) kuwa haliwezi kuipa uwanachama Zanzibar kwa kuwa si mwanachama wa Umoja wa Mataifa haina mashiko kwa kuwa FIFA ina wanachama wengi zaidi kuliko wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na hiyo ikimaanisha kuwa ndani ya FIFA muna nchi wanachama kadhaa ambazo si madola… Continue reading FIFA haina hoja kuinyima Zanzibar uanachama – Alberto

HABARI

Mbunge wa Malindi amlima barua Infantino wa FIFA

Mbunge wa jimbo la Malindi, mwandishi wa habari na mwanamichezo, Ally Saleh, amemuandikia barua ya wazi Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, siku chache kabla ya kiongozi huyo wa soka ulimwenguni kuwasili kwa ziara maalum nchini Tanzania. Kujuwa yaliyomo kwenye barua hiyo, soma hapa. OPEN LETTER Your Excellency Gianni Infantino President FIFA… Continue reading Mbunge wa Malindi amlima barua Infantino wa FIFA

KALAMU YA GHASSANI

La uwanachama wa CAF, Zanzibar na udhaifu wa ndani

Makala hii inazungumzia kadhia ya Zanzibar kuondolewa kwenye uwanachama wake iliokaa nao siku 128 katika Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) kwa kugusia mule makala iliyotangulia ilimopitia, yaani "Siasa za Muungano kuelekea Zanzibar", lakini kwa hoja kuwa siasa hizo za Muungano zinafanikishwa na uadui mkubwa uliomo ndani ya Zanzibar yenyewe. Nitapiga mfano wa namna ambavyo… Continue reading La uwanachama wa CAF, Zanzibar na udhaifu wa ndani

KALAMU YA GHASSANI

La Zanzibar kufukuzwa CAF, tuangalie tulipojikwaa

Ijumaa ya tarehe 21 Julai 2017 itachukuwa muda mrefu kwangu kusahaulika. Kwenye ukurasa wa Facebook, mtumiaji mmoja alikuwa ametuma taarifa iliyoandikwa na dawati la michezo la mtandao wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kuhusu nchi yangu, Zanzibar, kuvuliwa uwanachama wake iliokuwa imeupata siku 128 hapo kabla kwenye Shirikisho la Soka la Afrika (CAF). Kwanza… Continue reading La Zanzibar kufukuzwa CAF, tuangalie tulipojikwaa