• HABARI
  • ZAIMA TV
Zanzibar Daima
News Ticker
  • [ May 2, 2019 ] Muungano unalindwa kwa nguvu MCHAMBUZI MAALUM
  • [ May 2, 2019 ] Masauni amelewa pombe gani? MCHAMBUZI MAALUM
  • [ April 29, 2019 ] Khalifa Hatfar: Kibaraka wa Marekani au mwokozi wa Libya? MCHAMBUZI MAALUM
  • [ April 21, 2019 ] Sudan: Mapinduzi bado kukamilika AFRIKA
  • [ April 12, 2019 ] Algeria: Darasa za bure barabarani MCHAMBUZI MAALUM
Homehaki za binaadamu

haki za binaadamu

HABARI

Mbowe aitwa tena polisi, atowa waraka mzito kwa taifa

March 22, 2018 Zanzibar Daima 0

Leo tarehe 22 Machi 2018, mimi na viongozi wenzangu waandamizi wa Chadema tumetakiwa tena kuripoti Polisi. Tunaokabiliwa na usumbufu huu ni pamoja na Mhe Vincent Mashinji (Katibu Mkuu), Mhe. John John Mnyika, Mbunge na Naibu Endelea

HABARI

Hatimaye Nondo apandishwa kizimbani kiutata

March 21, 2018 Zanzibar Daima 0

Hatimaye jeshi la polisi nchini Tanzania limempandisha kizimbani kiongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Mahmoud Abdul Nondo, mkoani Iringa, baada ya takribani wiki mbili za kumshikilia. Taarifa zinasema kuwa alisafirishwa usiku wa jana (Machi Endelea

MCHAMBUZI MAALUM

Hakuna mdharau ukweli aliyewahi kubakia salama

March 3, 2018 Zanzibar Daima 0

Ndugu zangu, nimeona tamko la Wizara ya Mambo ya Nje likieleza kuwa Balozi mbalimbali za Ulaya na Marekani ambazo hivi karibuni zimetoa kauli ya kukosoa mwenendo wa Serikali “hazijui hali halisi ya usalama wa nchi”. Endelea

HABARI

Kubenea azidi kumng’ang’ania Mwigulu mauaji ya Akwilina

February 21, 2018 Zanzibar Daima 0

Mbunge wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Saeed Kubenea, amemtaka kwa mara nyengine tena Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba (CCM), kujiuzulu nafasi yake akimtuhumu kuwa hawezi tena kuaminika kushikilia wadhifa huo baada ya Endelea

KALAMU YA GHASSANI

Maisha yasiyotathminiwa hayana maana kuyaishi

September 14, 2017 Zanzibar Daima 0

Ulimwenguni kote na katika zama zote, jamii inapokuwa chini ya utawala ulioziba masikio na macho na nyoyo, watawala hupenda waachiwe wafanye watakavyo. Huwa wamejirithisha wenyewe nchi na raia wake. Na kwa hili hawataki muhali, masahihisho, Endelea

KALAMU YA GHASSANI

Magufuli anawauzia Watanzania tamaa ya maendeleo kwa gharama ya demokrasia yao

July 31, 2017 Zanzibar Daima 0

Kwa hakika, Rais John Magufuli anaonekana kuwalazimisha raia wake kufanya naye biashara ya gizani. Yeye awauzie maendeleo, nao wamlipe kwa gharama ya demokrasia angalau hadi mwaka 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mwengine. Lakini je, Endelea

MCHAMBUZI MAALUM

Guantanamo isifananishwe Segerea

July 24, 2017 Zanzibar Daima 0

SI sahihi sana kumuingiza Rais John Magufuli katika chungu kimoja tu cha kuukosoa utendaji wake wote. Yapo ambayo anapatia, na kwa nionavyo, kwa hayo, amekuwa mfano kwa viongozi wengine. Mapambano yake dhidi ya ufisadi, ni Endelea

MCHAMBUZI MAALUM

Tusiruhusu kutawaliwa na mademagogi

July 10, 2017 Zanzibar Daima 0

BAADA ya mkasa uliomkuta Halima Mdee, Mbunge wa Kawe, wiki iliyopita, nimekumbuka kwa uchungu, mazungumzo yangu na waandishi wa habari tarehe 12 Februari 2017, ofisini kwangu Mwanza, anaandika Ansbert Ngurumo kwenye mtandao wa MwanaHalisi Online.  Siku hiyo, Endelea

Posts navigation

1 2 »

Tafuta

Maktaba

Utawala
  • Log in
  • Entries feed
  • Comments feed
  • Powered by WordPress.com.
Tuwasiliane
office@zanzibardaima.net
Jumatatu - Ijumaa
10:00 Hrs - 17:00 Hrs
Subscribe to Blog via Email

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 11,558 other subscribers

Zaima Media Network