TAALUMA

Tambua haki zako ukiwa mikononi mwa polisi

Kukamatwa na polisi si kosa, bali ni utaratibu wa kisheria tu. Kwa hivyo, hata unapotiwa nguvuni kwa tuhuma ya kosa fulani, bado wewe hujawa mkosa, na bado una haki zako kamili kama raia na kama mwanaadamu. Kuzijuwa haki hizo, ambatana na Wakili Msomi Omar Said Shaaban akikufahamisha kwa undani zaidi. https://www.youtube.com/watch?v=9cm4pBlvxgU&t=5s

HABARI

Makao Makuu cha CUF Mtendeni yavamiwa, wenyewe watoa kauli

Jeshi la Polisi visiwani Zanzibar lilivamia makao makuu ya chama kikuu cha upinzani visiwani humo , The Civic United Front (CUF), yaliyo katikati ya mtaa wenye shughuli nyingi wa Mtendeni, kwa madai ya kusaka silaha ambazo waliarifiwa ziliingizwa hapo. Baada ya uvamizi huo, CUF ilizungumza na waandishi wa habari. Sikiliza kauli ya mkurugenzi wa chama… Continue reading Makao Makuu cha CUF Mtendeni yavamiwa, wenyewe watoa kauli

KALAMU YA GHASSANI

Lissu wa dhahabu

Mkononi mwangu nina kitabu kiitwacho 'A Golden Opportunity? Justice & Respect in Mining' (Fursa ya Dhahabu? Haki na Heshima kwenye Madini) cha mwaka 2008. Waandishi wake ni wawili – Mark Curtis na Tundu Lissu. Ni matokeo ya utafiti uliofanywa na wawili hao wakiwa chini ya Baraza la Wakristo Tanzania (CCT) na Baraza la Waislamu Tanzania… Continue reading Lissu wa dhahabu

HABARI

Madaraka yatumiwayo vibaya ni janga kwa taifa 

MAMLAKA  na madaraka ni vitu hatari. Vinahitaji umakini mkubwa kuvimudu. Ni kwa sababu vitu hivyo wakati mwingine vinalevya na kumfanya aliye juu yavyo kujisahau na kujiona ni kitu kingine tofauti na binadamu wenzake alio nao. Mamlaka na madaraka vinaweza kumfanya mtu aamue atakavyo bila kujali maamuzi yake yataleta madhara gani ndani ya jamii aliyomo. Matokeo… Continue reading Madaraka yatumiwayo vibaya ni janga kwa taifa