Tusiruhusu kutawaliwa na mademagogi

Published on :

BAADA ya mkasa uliomkuta Halima Mdee, Mbunge wa Kawe, wiki iliyopita, nimekumbuka kwa uchungu, mazungumzo yangu na waandishi wa habari tarehe 12 Februari 2017, ofisini kwangu Mwanza, anaandika Ansbert Ngurumo kwenye mtandao wa MwanaHalisi Online.  Siku hiyo, niliwaeleza kuwa nchi yetu sasa inaongozwa kidemagogi. Niliomba wananchi waamke kuomba, kukemea, kushauri, kupinga na […]

Madaraka yatumiwayo vibaya ni janga kwa taifa 

Published on :

MAMLAKA  na madaraka ni vitu hatari. Vinahitaji umakini mkubwa kuvimudu. Ni kwa sababu vitu hivyo wakati mwingine vinalevya na kumfanya aliye juu yavyo kujisahau na kujiona ni kitu kingine tofauti na binadamu wenzake alio nao. Mamlaka na madaraka vinaweza kumfanya mtu aamue atakavyo bila kujali maamuzi yake yataleta madhara gani […]