Barua ya Marehemu Malima yafichuwa aliyotendewa na JK

Published on :

Visa na vitimbi vilivyozuka ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015 vinashabihiana sana na kile kilichotokea miaka 20 nyuma wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi wa kwanza tangu kurejeshwa tena kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inafichuwa barua iliyoandikwa na […]