HABARI

Jecha hajiwezi kwa CCM

UFUATILIAJI wangu uliosaidiwa na watoa taarifa serikalini na kwengineko, unanipa jeuri ya kuamini kuwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanamdhibiti Jecha Salim Jecha anayeendelea kuitwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC). Anaandika Jabir Endelea