HABARI

Ya uchaguzi Zanzibar nayo dhambi

MOJA ya kauli nzito ambazo Rais Dk. John Magufuli amekuwa akizitoa wakati huu anapoendelea kuzunguka nchi kwa ziara rasmi ya kiserikali anayoiita ni ya kushukuru wananchi kwa kumchagua kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni kushughulikia au kufuta dhambi. Rais Magufuli anasema anafuatilia dhambi dhidi ya Taifa na Watanzania. Ni dhambi zilizopita. Ni dhambi zilizotokana… Continue reading Ya uchaguzi Zanzibar nayo dhambi

HABARI

Historia itatuhukumu na kutulaani

HISTORIA ni nzito. Tukiingia 2017 tunaiona yetu sisi kuwa ni zigo kubwa la dhambi za watawala wetu pamoja na zetu wenye kuwaachia watawala wafanye wayafanyayo.  Tunawaachia wajifanyie watakavyo kwa sababu, kama walivyo watawala na sisi pia, hatuna uadilifu. Tunayaona makosa yanayotendwa na watawala, tunaona jinsi haki za wananchi zinavyokandamizwa, jinsi uhuru unavyominywa, jinsi viongozi wanavyolihadaa… Continue reading Historia itatuhukumu na kutulaani

HABARI

Democracy deferred in Zanzibar

Thank you for the welcome and kind words. It is a pleasure to be back among old friends. The links between Zanzibar and the United States go back a long way - to 1837 when the US opened its first diplomatic mission in sub-Saharan Africa in Zanzibar. In our most recent struggle for democratic rights,… Continue reading Democracy deferred in Zanzibar

HABARI

Kambi ya Upinzani Bungeni yatangaza kutomtambua Dk. Shein

Kambi Rasmi ya Upinzani inasema kuwa Dk. Ali Muhammed Shein hana uhalali wa kushika nafasi hiyo kwa sababu matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo yana kila dalili kuwa yalikuwa ni ya kupanga kitakwimu. Kwa mfano katika Jimbo la Malindi, Dk Shein alipata kura 2,334 katika Uchaguzi wa Oktoba, lakini katika Uchaguzi wa Machi 20 akapata kura… Continue reading Kambi ya Upinzani Bungeni yatangaza kutomtambua Dk. Shein

KALAMU YA GHASSANI

Miujiza ya busu la Jecha ilivyomgeuza chura kuwa Mwana Mfalme

Miongoni mwa ufahamu wa watu wa kawaida hapa Ulaya kuhusu nchi yangu, ni kuwa Zanzibar ni sehemu ya hadithini tu yenye mambo ya kushangaza na kufurahisha. Hata kuna hadithi kama ile riwaya ya kisayansi iitwayo Stand on Zanzibar iliyoandikwa na John Brunner mwaka 1968 na ikaja kujishindia tunzo kadhaa za kimataifa. Riwaya kama hizi husaidia… Continue reading Miujiza ya busu la Jecha ilivyomgeuza chura kuwa Mwana Mfalme