Miguna Miguna azuia kupandishwa ndege kwa nguvu

Published on :

Mwanasheria na mwanaharakati wa Kenya mwenye uraia pia wa Canada, Miguna Miguna, amezuia operesheni ya kumpandisha ndege kwa nguvu kumpeleka Dubai iliyochukuliwa na mamlaka za uhamiaji na vyombo vya usalama vya Kenya usiku wa jana (26 Machi 2018), katika mkasa wa aina yake uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo […]

Marekani, EU zamlaumu Odinga

Published on :

Marekani na Umoja wa Ulaya wamekosoa hatua ya muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya kumuapisha kiongozi wao Raila Odinga, pamoja na hatua ya serikali kuzima matangazo ya vituo vya televisheni. Katika taarifa tofauti zilizochapishwa kwenye tovuti zao,Wizara ya mambo ya nje ya Marekani na Umoja wa Ulaya zimeushutumu muungano […]

Funzo la uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Kenya ni kuwa demokrasia hujengwa kutokea ndani, sio nje

Published on :

Uamuzi wa tarehe 1 Septemba 2017 wa Mahakama ya Juu ya Kenya kuufuta uchaguzi uliompa ushindi rais aliye madarakani na kuamuru kurejewa upya, umezua maoni mengi na yanayofanana ndani na nje ya taifa hilo la Afrika Mashariki. Miongoni mwa hayo yanayofanana ni kumwagiwa sifa kwa Jaji Mkuu David Maranga kwa […]