Miguna Miguna azuia kupandishwa ndege kwa nguvu

Published on :

Mwanasheria na mwanaharakati wa Kenya mwenye uraia pia wa Canada, Miguna Miguna, amezuia operesheni ya kumpandisha ndege kwa nguvu kumpeleka Dubai iliyochukuliwa na mamlaka za uhamiaji na vyombo vya usalama vya Kenya usiku wa jana (26 Machi 2018), katika mkasa wa aina yake uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo […]

Funzo la uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Kenya ni kuwa demokrasia hujengwa kutokea ndani, sio nje

Published on :

Uamuzi wa tarehe 1 Septemba 2017 wa Mahakama ya Juu ya Kenya kuufuta uchaguzi uliompa ushindi rais aliye madarakani na kuamuru kurejewa upya, umezua maoni mengi na yanayofanana ndani na nje ya taifa hilo la Afrika Mashariki. Miongoni mwa hayo yanayofanana ni kumwagiwa sifa kwa Jaji Mkuu David Maranga kwa […]

Uhuru Kenyatta: Mtu mzima akivuliwa nguo, huchutama 

Published on :

 Ni bahati mbaya sana kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kuwa majaji wa Mahakama ya Juu wameamua kuufuta ushindi wa asilimia 54 aliotangaziwa na Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwenye uchaguzi wa Agosti 8 wakisema haukuwa halali na kwamba uchaguzi mpya lazima ufanyike ndani ya siku 60 kuanzia tarehe […]

Odinga aapa kuendeleza mapambano mitaani na mahakamani

Published on :

Kiongozi wa upinzani na mgombea urais kwa tiketi ya muungano wa NASA nchini Kenya, Raila Odinga, ameapa kwamba kamwe hatayatambua matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyompa ushindi mpinzani wake mkuu, Rais Uhuru Kenyatta ambaye, kwa mujibu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini humo, alipata asilimia 54 ya […]