HABARI

Zaidi ya Watanzania 380 watajwa ‘kupotezwa’ kusini

Juni 12, 2017 mchana, Bi Ziada Salum wa Kitongoji cha Maparoni wilayani Kibiti alikuwa nyumbani kwake akipika chakula cha familia yake, wakati ambao Jeshi la Polisi lilifika na kumchukua kwaajili ya kwenda kumhoji. Ni miezi 11 leo tangu bi Ziada Salum achukuliwe, hajarudishwa mpaka leo, familia yake haijaarifiwa chochote, bado imekaa na matarijio kuwa ipo… Continue reading Zaidi ya Watanzania 380 watajwa ‘kupotezwa’ kusini

HABARI

Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 29

Miongoni mwa yaliyoangaziwa leo ni mauaji yanayoendelea Kibiti, kauli ya Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, juu ya hujuma za Mamlaka ya Urajisi Tanzania Bara (RITA) na kurudi tena kwa Edward Lowassa polisi hivi leo. Kwenye michezo, takribani kurasa zote zimetanda tukio la kukamatwa kwa kiongozi mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania… Continue reading Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 29