MCHAMBUZI MAALUM

Majibu yasiyopendeza ya suala la Kibiti 

Kuna utaratibu wa kutoa mafunzo ya kijeshi kwa vijana kwa mujibu wa sheria na kwa wanaojitolea kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).  Mafunzo hayo yanawafaa sana vijana kwa kuwajengea ukakamavu na mbinu za kulinda nchi yao pale inapotokea zahama hasa kutokea nje ya mipaka ya nchi yetu. Uzuri wa mafunzo hayo, hasa yale yanayotolewa kwa… Continue reading Majibu yasiyopendeza ya suala la Kibiti 

HABARI

Suala la Pwani lisiachwe kwa Polisi peke yao

KINACHOENDELEA  kwa sasa katika maeneo ya mkoa wa Pwani, hasa Mkuranga, Kibiti na Rufiji, ni hali ya hatari. Sidhani kama kuna Mtanzania yeyote anayependezwa na kitu hicho au anayeweza kuona hilo ni jambo lisilomgusa au kumhusu.   Tanzania ni nchi inayojivunia hali ya amani na utulivu, hilo ni jambo ambalo bilashaka nchi zote zinalitamani na… Continue reading Suala la Pwani lisiachwe kwa Polisi peke yao

HABARI

CUF yaja juu viongozi wake kukamatwa

Chama cha Wananchi (CUF) kimelijia juu jeshi la polisi kwa kile kinachosema ni kukamatwa kwa viongozi wake wa Mkoa wa Pwani, katika wakati ambapo mauaji na mashambulizi ya kuvizia yanaendelea kwenye eneo hilo kwa muda mrefu sasa. Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro, ambaye alikuwa mkoani Pwani kufuatilia hatima ya viongozi kadhaa… Continue reading CUF yaja juu viongozi wake kukamatwa

HABARI

Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 8 Juni 2017 

Makisio kuhusu itakavyokuwa bajeti kuu ya Tanzania itakayosomwa leo na waziri wa fedha bungeni, kuondolewa kwa Anna Mghwira kwenye uwenyekiti wa ACT Wazalendo, kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama huko Kibiti ni miongoni mwa yaliyotawala safu za mbele za magazeti ya leo, huku kwenye kurasa za michezo, wengi wakizungumzia mechi ya leo kati ya Young… Continue reading Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 8 Juni 2017