HABARI

Lipumba ni nuhusi kwa CUF – Maalim Seif

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba, hana hadhi ya kujiita mpinzani wa kweli dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), bali ni msaliti anayeitumikia CCM kuichafua CUF kwa sababu ya kutimiza maslahi ya wanaomtuma. Hayo ameyasema kwenye kongamano la CUF lililofanyika Tandale,… Continue reading Lipumba ni nuhusi kwa CUF – Maalim Seif

HABARI

Lipumba amlaumu Maalim Seif kwa sheria mbaya ya uchaguzi Z’bar

Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amemlaumu Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, kwa kupitishwa sheria 'mbaya' za uchaguzi kwenye Baraza la Wawakilishi la Zanzibar lenye wana-CCM watupu kwa madai kuwa kunatokana na katibu mkuu huyo kuzuwia kesi za wawakilishi wa CUF baada ya uchaguzi wa Oktoba… Continue reading Lipumba amlaumu Maalim Seif kwa sheria mbaya ya uchaguzi Z’bar

Nassor Mazrui
HABARI

CUF yatoa kauli rasmi ziara ya Lipumba kisiwani Pemba

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Nassor Ahmed Mazrui, kimeikanusha vikali barua iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa kusini Pemba, likidai kupokea barua ya CUF kuridhia kufanyika kwa kongamano kwenye ukumbi wa Makonyo, Chake Chake kisiwani Pemba hapo kesho (Jumamosi, 24 Februari 2018).   Hii hapa chini ndiyo taarifa rasmi ya CUF… Continue reading CUF yatoa kauli rasmi ziara ya Lipumba kisiwani Pemba