SIASA

Lissu amjibu Msajili Mutungi

Nimesoma barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, yenye tuhuma na vitisho vingi dhidi ya CHADEMA. Bila kutoa ushahidi wowote na kwa kutegemea taarifa za upande mmoja tu, Msajili Mutungi ameituhumu CHADEMA kwa kufanya siasa za kibabe na vurugu na kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa na Kanuni za Maadili ya Vyama… Continue reading Lissu amjibu Msajili Mutungi

MCHAMBUZI MAALUM

Kama vile Dk. King, hata kifo kisingemuua Lissu

Nimefuatilia kwa makini mazungumzo yanayoendelea katika mitandao ya kijamii, magazeti ya nchini pamoja na vyombo vyenginevyo vyenye kutoa taarifa tangu siku ya tarehe 7 Septemba mwaka huu, baada ya Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS), Tundu Antipas Lissu, kupigwa risasi nje ya nyumba yake mjini Dodoma. Kitendo hicho… Continue reading Kama vile Dk. King, hata kifo kisingemuua Lissu

KALAMU YA GHASSANI

Nguvu ya Lissu ni kubwa kuliko ya risasi

Sisi wengine tangu siku ya mwanzo akina Nape Nnauye walipokuwa wakitetea uamuzi wa serikali ya awamu ya tano kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya bunge kupitia televisheni ya taifa kwa madai ya kubana matumizi, tulijuwa wameshachelewa. Si katika zama hizi za mawasiliano ya mitandao ya kijamii, ambapo nguvu hasa za mawasiliano zimo viganjani mwa… Continue reading Nguvu ya Lissu ni kubwa kuliko ya risasi

HABARI

Lissu atiwa nguvuni

SIKU moja baada ya polisi kumhakikishia Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema kuwa yupo huru na hakuna mpango wa kumkamata, hatimaye leo Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limemkamata akiwa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JKNIA),¬†anaandika Charles William. Lissu amekamatwa akiwa uwanjani hapo tayari kwa safari ya kuelekea jijini Kigali, Rwanda… Continue reading Lissu atiwa nguvuni

HABARI

TUNDU LISSU: Mpambanaji aliyeuanza uwanaharakati utotoni

  JUNI 3, mwaka huu, Mwandishi Wetu, Godfrey Dilunga, alifanya mahojiano kuhusu masuala mbalimbali na Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) ambaye pia ni mwanaharakati wa haki za binadamu, Tundu Lissu, jijini Dar es Salaam. Yafuatayo ndiyo yaliyojiri kwenye mahojiano hayo. Raia Mwema: Tuanze na historia yako kwa muhtasari. Lissu: Niliishi maisha ya furaha sana ya… Continue reading TUNDU LISSU: Mpambanaji aliyeuanza uwanaharakati utotoni