HABARI

Maalim Seif auanika usaliti wa Khalifa kwao

Katika kile kinachoibua hisia za Maalim Seif Sharif Hamad kwa kusalitiwa na baadhi ya jamaa zake wa Pemba kwenye mgogoro wa chama chake unaoendelea sasa, Katibu Mkuu huyo wa Chama cha Wananchi (CUF) ametoa kauli kali zaidi kuwahi kutolewa naye hadharani dhidi ya kundi la wanasiasa hao waliomgeuka, hasa Khalifa Suleiman Khalifa, aliyewahi kuwa mbunge… Continue reading Maalim Seif auanika usaliti wa Khalifa kwao

HABARI

SMZ inawabagua CUF, Wapemba – Maalim Seif

Akiorodhesha mifano kadhaa iliyotokea tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu uliopita, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ameituhumu Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) chini ya uongozi wa Dk. Ali Mohammed Shein kwa kuendesha nchi kwa misingi ya ubaguzi wa uzawa na uvyama. Hayo ameyasema leo Chake Chake kisiwani Pemba, ambako… Continue reading SMZ inawabagua CUF, Wapemba – Maalim Seif

HABARI

Maalim Seif aunga mkono waraka wa KKKT

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema amefarijika sana kuona Kanisa la Kilutheri la Tanzania (KKKT) limetoa waraka wa kuzungumzia hali halisi ya nchi katika wakati ambapo vitendo vinavyokinzana na misingi ya taifa vikishamiri, akieleza kwamba si sahihi kuwakataza viongozi wa kidini kutoa maoni yao kuhusu mambo yanayoigusa moja kwa… Continue reading Maalim Seif aunga mkono waraka wa KKKT

KALAMU YA GHASSANI

Uhai wa CUF unategemea uadilifu wa mahakama

Kuna wanaohoji kwamba mgogoro uliopandikizwa kwenye Chama cha Wananchi (CUF) unaweza tu kumalizika kwa katibu mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, kukaa kitako na aliyekuwa mwenyekiti wake, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, kuyazungumzia wanayotafautiana. Mtazamo wa mazungumzo ndio unaonekana, kijuujuu, kutajwa pia na Profesa Lipumba mwenyewe, ambaye katika siku za hivi karibuni alinukuliwa akisema… Continue reading Uhai wa CUF unategemea uadilifu wa mahakama