Nguzo ya sita ya mitaji ya mafanikio ni teknolojia

Published on :

Huku niliko eneo la bonde la Mwakaleli, sihitaji kwenda mjini kutafuta kazi za ushauri elekezi (consultancies) ninazofanya. Huwa nawasiliana na taasisi mbalimbali zilizopo nchini na hata za nje ya nchi kuomba kazi, hususan za kuchambua na kuandika masuala anuai ya kijamii. Namaliza kila kitu na kuwasilisha juu-kwa-juu kupitia teknolojia ya […]

Magufuli anawauzia Watanzania tamaa ya maendeleo kwa gharama ya demokrasia yao

Published on :

Kwa hakika, Rais John Magufuli anaonekana kuwalazimisha raia wake kufanya naye biashara ya gizani. Yeye awauzie maendeleo, nao wamlipe kwa gharama ya demokrasia angalau hadi mwaka 2020 wakati wa kampeni za uchaguzi mwengine. Lakini je, biashara hii inawezekana kwa taifa ambalo lilishaonja ladha ya demokrasia kwa robo karne nzima mtawaliya? […]

Je, Tanzania yaweza kupata maendeleo ya kiuchumi kwa kubaka demokrasia?

Published on :

Shutuma kwamba utawala wa awamu ya tano wa Rais John Magufuli unaibinya roho demokrasia changa ya taifa hili kubwa kabisa Afrika Mashariki zina mashiko yake kwa kuangalia rikodi ya yale yanayotendwa dhidi ya vyama vya upinzani na viongozi wao, asasi za kijamii na hata vyombo vya habari, viwe vipya ama […]

Miaka 60 CCM imeshindwa kuonesha ubora wake

Published on :

MTU  mmoja nisiyeelewa yuko upande gani kiitikadi, kama anafuata itikadi za upinzani au za chama tawala, kanipa wazo la kufikirisha kama mojawapo ya changamoto za kisiasa. Kanitumia ujumbe mfupi wa maandishi kwenye simu yangu akisema hivi: “Kwa sasa CCM eti ndipo inakumbuka kero za wananchi!”   Katika kutafakari, nagundua jambo la […]