JPM ameshinda walau kwa sasa

Published on :

“LINI?”  Ni swali nililojiuliza, mara kwa mara, tangu Januari 8 mwaka jana kila nilipomsikia Edward Lowassa akitajwa.  Januari 8, 2018, ndiyo siku Lowassa alipopokewa rasmi Ikulu na Rais John Pombe Magufuli. Baadaye Lowassa alisema alifurahishwa mno na mkutano wao, kwamba walizungumza mengi na alimpongeza Rais “kwa kazi nzuri anayofanya”.  Mkutano huo baina ya […]

Wafanyabiashara ‘wampa siku 30’ Magufuli

Published on :

UONGOZI wa wafanyabiashara wa Tanzania bara na Zanzibar wametoa siku 30 Rais John Magufuli kuhakikisha anatatua changamoto zinazowakabili katika shughuli zao vinginevyo maduka yote hata ya vichochoroni yatafungwa, unaandika mtandao wa MwanaHalisi Online. Kauli hiyo nzito imetolewa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT), Johnson Minja wakati akihitimisha kikao cha […]

Ya uchaguzi Zanzibar nayo dhambi

Published on :

MOJA ya kauli nzito ambazo Rais Dk. John Magufuli amekuwa akizitoa wakati huu anapoendelea kuzunguka nchi kwa ziara rasmi ya kiserikali anayoiita ni ya kushukuru wananchi kwa kumchagua kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni kushughulikia au kufuta dhambi. Rais Magufuli anasema anafuatilia dhambi dhidi ya Taifa na Watanzania. Ni […]

Kinachowafanya Uamsho waendelee kusota rumande

Published on :

Serikali zote duniani zinakuwa na nguvu nyingi, ukiacha vyombo vya dola ambavyo siku zote husimama imara vikiwa upande wao, hata ikitokea serekali inaboronga basi wao huendelea tu kusimama nayo. Ni mara chache sana vyombo vya dola kuwa kinyume na serekali, inatokea lakini ni baada ya mure mrefu wa kuwa bega […]

Guantanamo isifananishwe Segerea

Published on :

SI sahihi sana kumuingiza Rais John Magufuli katika chungu kimoja tu cha kuukosoa utendaji wake wote. Yapo ambayo anapatia, na kwa nionavyo, kwa hayo, amekuwa mfano kwa viongozi wengine. Mapambano yake dhidi ya ufisadi, ni mfano, ingawa kiutekelezaji zipo kasoro hizi ni na zile. Kuonesha jinsi gani yapo mazuri, wakati […]